Kenyans Live

Zaidi ya lita 1,000 za chang’aa zakamatwa katika oparesheni Katine na Ngomeni kaunti ya Machakos

Description (show more)

Oparesheni iliyojumuisha vikosi tofauti vya serikali ikiongozwa na NACADA, Rapid Deployment Unit, Nyumba Kumi na wenyeji kutoka Vijiji vya Katine na Ngomeni imepelekea maafisa kuvamia mabanda ya kutengeneza Chang'aa kando ya Mto Katine ambapo zaidi ya lita 1000 zilipatikana. Kiini cha uvamizi huo kilisababishwa na kupatikana kwa Chang'aa katika mitaa iliyoko karibu.

Share: