Kenyans Live

Eneo la Mambrui katika kaunti ya kilifi lalengwa kwa soko la utalii

Description (show more)

Wadau katika sekta ya utalii kaunti ya Kilifi wanalenga kutafutia soko eneo la Mambrui kama moja wapo ya vivutio vikuu vya utalii eneo hilo kutokana na mandhari yake ya matuta ya mchanga .

Share: