Kenyans Live

Kaunti ya Garissa yahimizwa kupanda miti kukabiliana na athari za mvua

Description (show more)

Wakazi wa Garissa wamehimizwa kuongeza juhudi za upanzi wa miti kama sehemu ya hatua za kukabiliana na changamoto za mazingira na athari zinazoweza kuletwa na mvua.

Share: