Kenyans Live

Wanafunzi zaidi ya 11,000 Mwingi magharibi wapokea viatu

Description (show more)

Wanafunzi zaidi ya 11, 000 kutoka Mwingi magharibi walizawadiwa viatu na wakfu wa Jonathan Ngenga ikiwa ni mojawapo wa malengo ya shirika hilo ya kuisaidia jamii.

Share: