Kindiki ahakikisha uchaguzi ujao utakuwa huru na wa haki
Description (show more)
Naibu wa rais Profesa Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka ujao utakuwa huru, wa haki, wa amani na wa kuaminika. akizungumza katika makao yake mtaani karen hapa jijini nairobi, kindiki pia amesema Serikali imechukua hatua za kina kukabiliana na athari za mvua ya el nino.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
· 1 views
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
· 2 views
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
· 10 views
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
· 18 views
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
· 12 views
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
· 5 views
1:26Sifuna speaks after initially being denied access to a meeting at JKUAT’s Karen Campus
· 25 views
