Kenyans Live

Wakazi wakimbia makazi Samburu wakidai kushambuliwa na polisi

Description (show more)

Wakazi wa losesia kaunti ya samburu wanalalamikia kile wanadai ni kuuawa kwa mifugo wao na maafisa wa usalama wanaoendeleza oparesheni ya kukabiliana na wahalifu wanaoiba mifugo. Wakazi wengi waliotoroka kwao kutokana na mashambulizi ya hivi punde wanasema wako tayari kushirikiana na polisi kukabili hali hii huku wakitaka kuhakikishiwa usalama wao na mifugo wao.

Share: