Kenyans Live

Meru: Vurugu zashuhudiwa ambapo gari la Kawira Mwangaza linadaiwa kuharibiwa na wahuni

Description (show more)

Vurugu zilishuhudiwa ambapo gari la aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo, Kawira Mwangaza, linadaiwa kuharibiwa na wahuni alipokuwa akijaribu kuingia katika uwanja wa Githongo, ambako maadhimisho ya Mashujaa yalikuwa yakiendelea. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya