Kenyans Live

Waokoaji waendelea na juhudi za kuwaokoa watu wawili walio hai kwenye vifusi Eastleigh

Description (show more)

Waokoaji wanaendelea na zoezi la kujaribu kuwafikia watu wawili ambao jana waligunduliwa kuwa hai ndani ya vifusi vya jengo hilo.

Share: