Kenyans Live

Wanafunzi Eldoret wavumbua roboti ya akiliunde kusaidia kudurusu na kufanya utafiti wa masomo

Description (show more)

Ulimwengu unapozidi kukumbatia mageuzi ya matumizi ya teknolojia ya akiliunde, wanafunzi wa chuo cha mafunzo anwai cha kitaifa cha Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, wamevumbua Roboti inayowasaidia kudurusu matini chuoni,na kufanikisha utafiti wa masomo mbalimbali.

Share: