Kenyans Live

Kinara wa chama cha PM Caleb Amisi ameikosoa serikali kwa matumizi ya fedha za umma

Description (show more)

Kinara wa chama cha PM na mbunge wa Saboti Caleb Amisi ameikosoa serikali kwa matumizi ya fedha za umma katika ujumbe wa Rais William Ruto nchini Marekani, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akisema ulipaswa kuwa wa watu watano pekee.

Share: