Kenyans Live

Maandamano dhidi ya kiwanda cha dangote kaunti ya Lamu

Description (show more)

Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika bustani ya Mkununi Kisiani Amu ya kupinga shughuli ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha dangote yalisitishwa kwa muda baada ya maafisa wa polisi kutumia vitoa machozi kuwatawanya wandamanaji.

Share: