Kenyans Live

Wafanyabiashara wa Kahoya watishia kuvuruga ufunguzi wa soko jipya Eldoret

Description (show more)

Wafanyabiashara wa soko la Kahoya katika jiji la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, wametishia kutatiza ufunguzi wa soko jipya la biashara la 64 jijini Eldoret linalotarajiwa kufunguliwa na rais William Ruto. Wafanyibiashara hao wanadai licha ya kuondolewa kwenye soko hilo kupisha ujenzi, wanadai kuchezewa shere katika ugavi wa jengo hilo jipya. Usimamizi wa soko hilo ukiaahidi kushughulikia lalama hizo

Share: