Kenyans Live

Shule 17 za Kimindet Kilgoris kaunti ya Narok zapokea matenki ya maji ya lita 10,000

Description (show more)

Shule 17 katika wadi ya Kimindet, Kilgoris kaunti ya Narok, zimepewa matenki ya maji ya lita 10,000 yaliyotolewa na Katibu wa idara ya Elimu ya Msingi, John Ololtuaa.

Share: