Serikali yahimiza kuajiri wataalamu wa masuala ya wafanyakazi
Description (show more)
Serikali na taasisi binafsi zimehimizwa kuharakisha uajiri wa wataalamu wa kushughulikia maswala ya wafanyikazi walioidhinishwa kutoka kwa mpango wa utambuzi wa mafunzo ya awali. Wakati wa kutolewa kwa matokeo ya kundi 25 la kwanza la mpango huo wa kutambua ujuzi wa awali, Bodi ya mitihani ya wataalamu wa usimamizi wa wataalamu wa kushughulikia maslahi ya wafanyikazi ilisema utambuzi wa kujifunza kwa awali sio njia ya mkato ya kuhitimu kitaaluma kwa vile watahiniwa hufanyiwa tathmini zilizopangwa, zinazotegemea uwezo na wanatakiwa kuonyesha kwamba wanakidhi viwango vya kitaaluma vinavyotarajiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
4:50Juja quintuplets leave questions behind
3:35
2:38
6:10Quickfire questions with Mustafa || Dr Ofweneke Tonight
3:40Didmus Barasa Denies JKUAT Degree Claims, Says Allegations Are Politically Motivated
3:02Matatu driver linked to fatal Enterprise Road crash denied bail over dangerous driving charges
3:019 Killed in Separate Road Accidents in Machakos and Kisii Counties
3:00