Kenyans Live

Mama yake Paul Mackenzie akamatwa kwa madai ya kuwanyima wajukuu chakula

Description (show more)

Mama yake mhubiri Paul Mackenzie amekamatwa na maafisa wa polisi kwa madai ya kuwanyima chakula wajukuu wake watano na kuwalazimisha kufunga. Inadaiwa kuwa kwa kipindi cha miezi mitatu, Anastacia Mwele amekuwa akiwalazimisha wajukuu hao kutokula na kunywa kwa siku tatu kila wiki. Watoto hao pia wanadaiwa kuwa wamekuwa wakikosa masomo.

Share: