Kenyans Live

SRC yataka mfumo wa kisheria kuunganisha utendaji kazi na zawadi kwa wafanyakazi

Description (show more)

Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) inataka kuweka msingi wa kisheria utakaounganisha tija na utendaji kazi, ili serikali iweze kutambua na kuwazawadia wafanyakazi kulingana na utendakazi wao.

Share: