Kenyans Live

Makarani 5 wa KTDA na viwanda binafsi wakamatwa Kericho

Description (show more)

Makarani watano wa mamlaka ya ukuzaji chai KTDA na viwanda vya kibinafsi vya chai wamekamatwa katika eneo bunge la Bureti, Kaunti ya Kericho, kwa tuhuma za kuhitilafiana na mizani ya kupimia majani chai.

Share: