Kenyans Live

Kenya yazindua mpango wa hatua saba kuimarisha ukaguzi wa mipaka kukabiliana na Ebola

Description (show more)

Kenya imezindua mpango wa hatua saba ili kuimarisha uchunguzi wa mipaka ili kuzuia ugonjwa wa Ebola , ukizingatia uwanja wa ndege wa JKIA na vituo vya mipaka vya Busia, Malaba na Lwakakcha.

Share: