Kenyans Live

Bradley Memusi Lekuruon ametoweka kwa zaidi ya mwaka mmoja

Description (show more)

Mwanaume mmoja huko narok kwa jina Mayani Lekuruon analilia haki kutoka kwa serikali kufuatia madai kuwa nduguye kwa jina Bradly Memusi Lekuruon alitoweka baada ya kuonekana mara ya mwisho akiwa chini ya ulinzi wa polisi.

Share: