Kenyans Live

Ann Njeri ageuza kilimo kuwa chanzo cha mafanikio na kuwainua vijana Narok

Description (show more)

Katika makala ya Mwanamke Bomba wiki hii, tunakuangazia Ann Njeri, mwanamke aliyejijenga kupitia kilimo katika Kaunti ya Narok. Licha ya kuchagua kilimo kama njia ya kujiendeleza kimaisha, Ann amekuwa akiwahamasisha vijana wenzake kuachana na uraibu wa pombe na kukumbatia kilimo kama njia ya kujipatia kipato. Juhudi zake zimezaa matunda, huku akifanikiwa kubadilisha maisha ya vijana wengi katika eneo hilo kupitia kilimo.

Share: