Kenyans Live

Wamiliki wa mashamba Mlolongo waishi kwa hofu kufuatia vitisho vya genge la vijana

Description (show more)

Wamiliki wa mashamba eneo la mlolongo wanaishi kwa hofu baada ya genge la vijana kujitokeza kuwashurutisha kuwalipa ada ya takriban shilingi laki mbili unusu kusimamia huduma kama vile usalama. Mbali na gharama hii kuwa juu, wanaokataa kulipa ada hizo wanavamiwa kwa mapanga na visu na nyumba zao pia kuharibiwa. Na kama ode francis anavyoarifu, washukiwa watano wamekamatwa .

Share: