Kenyans Live

Matiang’i na Ndindi Nyoro wamkosoa Ruto Narok

Description (show more)

Naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang’i na kinara wa chama cha PPK Ndindi Nyoro wameendelea kumkosoa Rais William Ruto kwa kuendeleza mashambulizi yake dhidi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Wanasiasa hawa badala yake wakimshutumu Rais Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi za serikali yake kwa Wakenya. Wameendeleza siasa kuhusu upinzani kuungana kutafuta mgombea mmoja atakayemuondoa Rais Ruto mamlakani mwaka ujao. Walizungumza baada ya kuhudhuria ibada ya Jumapili katika Kaunti ya Narok.

Share: