Kenyans Live

Ruto awasuta wapinzani, awataka Wakenya kumuunga mkono kwa muhula wa pili

Description (show more)

Rais William Ruto ameendelea kuwasuta viongozi wa upinzani akidai wanalenga kugawanya taifa kwa misingi ya ukabila. Viongozi walioandamana na rais wamewarai wakenya kuzingatia utendakazi wa serikali na kumpa rais muhula wa pili wakitahadharisha wapinzani kujiandaa kwa kichapo debeni.

Share: