Kenyans Live

Mtu mwingine amefariki kutokana na majeraha ya moto kufuatia mlipuko wa lori la mafuta

Description (show more)

Mtu mwingine amefariki dunia kutokana na majeraha ya moto kufuatia mlipuko wa lori la mafuta katika eneo la Kapkong, kwenye barabara kuu ya Eldoret-Malaba. Marehemu alikuwa akipokea matibabu katika Hospitali ya matibabu maalum  ya Moi.Kifo hiki kinafanya jumla ya watu waliofariki kufikia watatu.Mlipuko huo ulitokana na ajali ya kugongana ana kwa ana  kati ya lori hilo na gari jingine lililokuwa likitoka Webuye. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: