Kenyans Live

Kindiki atetea rekodi ya maendeleo ya Ruto

Description (show more)

Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki ametetea rekodi ya maendeleo ya serikali akisema Rais William Ruto ametimiza ahadi alizoweka wakati wa kampeni na kuwa uchaguzi mkuu mwaka ujao utaamuliwa kutokana na rekodi ya maendeleo. Akizunguma huko ndia kaunti ya Kirinyaga, Kindiki ametaka upinzani kukoma kueneza siasa potovu. Haya ni huku viongozi wanaounga mkono serikali wakimpigia debe rais William Ruto huko nakuru.

Share: