Kenyans Live

Polisi watumia vitoa machozi kutawanya vijana katika kanisa eneo la Buruburu

Description (show more)

Polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya kundi la vijana waliofika katika kanisa la redeemed gospel church buruburu, wakitaka kanisa hilo kumchukulia hatua mshiriki mwenzao anayedaiwa kuwa mmoja wa wasichana walionaswa kwenye video wakimdhulumu mwenzao. Kanisa likisistiza kuwa msichana huyo si bintie mhubiri wa kanisa hilo na taarifa zinazotolewa ni potofu,

Share: