Kenyans Live

Maafisa watatu wa polisi miongoni mwa washukiwa 13 waliokamatwa kwa biashara ya dhahabu ghushi

Description (show more)

Maafisa watatu wa polisi ni miongoni mwa washukiwa 13 waliokamatwa jijini Nairobi kwenye barabara kuu ya Mombasa kwa tuhuma za kuhusika biashara ya dhahabu ghushi.

Share: