Kenyans Live

Gachagua, vigogo wa upinzani wasisitiza azma ya kumteua mgombea mmoja wa urais

Description (show more)

Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua na vigogo wengine wa upinzani wamesisitiza azma yao ya kumteua mgombea mmoja wa urais atakayechuana na Rais William Ruto katika uchaguzi wa mwaka ujao. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa afisi ya chama cha DCP katika eneo bunge la Juja, Gachagua aliendelea kuvishambulia vyama alivyovihusisha na Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya, akisema chama cha Mlima Kenya ni DCP.

Share: