Kenyans Live

Wadau Kilifi wakatishwa na Kenya kujiondoa AFCON ya soka ya ufukweni

Description (show more)

Wadau wa soka ya ufukweni mjini Kilifi wameelezea masikitiko yao baada ya Kenya kujiondoa katika mchuano wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika la soka ya ufukweni dhidi ya Libya.

Share: