Kenyans Live

Polisi wachunguza kifo cha Dennis Osiemo aliyefia korokoroni Nyeri

Description (show more)

Halmashauri huru ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha Dennis Aremo Osiemo alipokuwa amezuiliwa katika kituo cha polisi cha Narumoru katika kaunti ya Nyeri. Halmashauri hiyo imesema Osiemo alifariki Jumamosi, siku 2 baada ya kukamatwa katika kaunti ya Nyamira. Shughuli ya upasuajiwa mwili  inatarajiwa kutekelezwa huku wachunguzi wakiwa na lengo la kutaka kujua ni nini hasa kilisababisha kifo chake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: