Kenyans Live

Italia na Kilifi kuimarisha ushirikiano katika biashara, utamaduni, utalii na mafunzo ya ufundi

Description (show more)

Serikali ya Italia inalenga kuimarisha uhusiano wake zaidi na serikali ya kaunti ya Kilifi katika miradi ya kibiashara, utamaduni na utalii pamoja na uwezeshaji wa vijana katika taasisi za ufundi.

Share: