Kenyans Live

Duale asema hakuna fedha za ufadhili wa Ebola zitaliwa

Description (show more)

Waziri wa afyaAden Duale amesema serikali itachukua hatua kuzuia matumizi mabaya ya fedha zinazonuiwa kufadhili juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa ebola humu nchini. Duale ameonya kuwa hakutakuwa na fursa kwa watu binafsi kujitajirisha kutokana na ufadhili wa kudhibiti Ebola sawia na ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma uliodaiwa kutekelezwa kwakati wa janga la COVID-19. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News

Share: