Kenyans Live

Shirika la Red Cross laandaa mafunzo katika kaunti ya Garissa kuhusu maandalizi ya El Niño

Description (show more)

Shirika la Red Cross wakishirikiana na wadau wengine wameandaa mafunzo kwa wakilishi wa jamii ya kaunti ya Garissa kuhusu namna ya kujiandaa kwa mvua na El Nino inayotarajiwa kunyesha mwezi huu

Share: