Serikali yahimizwa kuongeza ufadhili kukabiliana na msongo wa mawazo
Description (show more)
Serikali za kaunti na ile ya Kitaifa zimetakiwa kutenga fedha za kutosha kukabiliana na tatizo la afya ya akili. Wito huu ulitolewa wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kutoa hamasa kuhusu afya ya akili uliofanyiika katika kituo cha ushauri nasaha cha Amani ambapo washiriki walilalamikia kutelekezwa kwa watu ambao wanakumbwa na msongo wa mawazo ambao idadi yao inaendelea kuongezeka kila uchao. Mkurugenzi Mkuu wa Kituo hicho Florence Busiega ameonya kuwa ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa vifo vingi vitaendelea kushuhudiwa kutokana na changamoto za afya ya kiakili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
2:22