Kenyans Live

Wamiliki wa matatu kaunti ya Mombasa kutangaza ongezeko la nauli wiki ijayo

Description (show more)

Wamiliki wa matatu kaunti ya Mombasa wametangaza kuwa wataongeza nauli kwa asilimia 10 kuanzia jumatatu wiki ijayo.

Share: