Kenyans Live

Upinzani waibua maswali kuhusu uwazi na uaminifu wa uchaguzi wa 2027

Description (show more)

Mzozo kuhusu uwazi na uaminifu wa uchaguzi wa mwaka 2027 umeingia katika sura mpya. Muungano wa People's Coalition unaoongoza na viongozi wa upinzani sasa unataka mabadiliko makubwa katika mfumo wa uchaguzi Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya