Kenyans Live

Polisi wachunguza mauaji ya afisa aliyefuzu mafunzo hivi karibuni

Description (show more)

Maafisa wa upelelezi wanachunguza mauaji ya kutatanisha ya afisa wa polisi, majuma kadhaa baada ya kufuzu mafunzo ya polisi. Afisa huyo, Raphael Ojiambo Smart, anadaiwa kupigwa risasi na afisa mwenzake katika kambi ya mafunzo ya polisi ya Tseikuru. Polisi wanamsaka mshukiwa aliyetoweka baada ya tukio hilo.

Share: