Kenyans Live

Rais Ruto akutana na rais wa FIFA Gianni Infantino

Description (show more)

Serikali ya kenya na shirikisho la kandanda duniani fifa, zitaimarisha uhusiano katika jitihada za kukuza vipaji vya kandanda kutoka ngazi ya chini hadi ngazi ya kitaifa. Muhimu katika uhusiano huo ni msaada wa kiufundi na maendeleo ya miundombinu nchini kenya.

Share: