Kenyans Live

Wadau wa elimu Kitutu Chache North wahofia wavulana kuacha shule kwa ukosefu wa karo

Description (show more)

Wadau katika sekta ya elimu kutoka Kitutu Chache North kaunti ya Kisii wanazidi kuelezea wasiwasi wao kuhusu visa vya watoto wavulana kuacha shule kutokana na ukosefu wa karo na kisha kujiingiza katika uraibu wa dawa za kulevya.

Share: