Kenyans Live

Viongozi wanaomuunga mkono Ruto wasifu rekodi yake ya maendeleo

Description (show more)

Viongozi wanaounga mkono azma ya Rais William Ruto wameendelea kusifia rekodi ya rais wakisema ameonyesha usawa wa maendeleo kote nchini. Wakizungumza huko Malava, Nakuru na Kisumu , viongozi hao vile vile wamepuuzilia mbali siaza za upinzani wakitoa ilani ya wiki moja kwa msajili wa vyama vya kisiasa wakitaka kumchukulia hatua kali kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua wakisema sheria haimruhusu kuwa hata kiongozi wa chama..

Share: