Kenyans Live

Rais Ruto kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa New York

Description (show more)

Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa jijini New York. Ruto atakuwa miongoni mwa viongozi watakaoshiriki katika mkutano huo wa kimataifa.

Share: