Kenyans Live

Murkomen ataka wananchi washirikishwe katika masuala ya usalama

Description (show more)

Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen ametoa wito wa ushirikishi zaidi wa umma katika masuala ya usalama wa taifa, akisema mashirika ya usalama yanapaswa kushirikiana na jamii ili kukabiliana na vitisho vinavyoibuka. Murkomen alisema hayo wakati wa mhadhara katika chuo cha kitaifa cha ulinzi jijini Nairobi, ambapo aliangazia jukumu la imani ya umma na ushiriki wa jamii katika kukabiliana na kudorora kwa usalama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: