ODM yakumbwa na misukosuko mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga
Description (show more)
Chama cha ODM kimekumbwa na misukosuko si haba mwaka mmoja baada ya kifo cha mwanzilishi wake, hayati Raila Amollo Odinga. Kwa mwaka mmoja tu baada ya kifo chake, chama hicho kimepasuka, baadhi ya viongozi wa chama, akiwemo aliyekuwa katibu wake Edwin Sifuna, wakifurushwa chamani. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 20, chama hicho hakitakuwa na mgombea wa urais, vigogo chamani wakisema wameamua kumuunga mkono Rais William Ruto.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
6:21“Tuheshimiane! I don’t want to be distracted by busybodies,” Gachagua blasts his opposition partners
· 449 views
3:47Gachagua: Nyeri's leaders have embarrassed us; I'll liberate the country starting from home
· 33 views
1:42Family demand justice after body of missing 29 year old is found in Narok
· 17 views
2:52MBAARA CIA ETHIOPIA KŨHUTIA KENYA
· 53 views
19:20Ũkunderu Wa Ciringi Kũhatĩka "WANJIKU" #UgeWaku part3
· 12 views
2:16Gachagua: I am not arrogant; I am truthful
· 347 views
3:17Uge wa aikari a kirinyaga thogora wa mũturĩre kwabatĩra bũrũri-inĩ
· 32 views
1:27Mũtumia wa mĩaka 22 kuuma Isiolo gũkua thutha wake kũherwo mwana barabara-inĩ
· 27 views
