Makundi ya wahalifu eneo la Malanga kaunti ya Busia yaonywa dhidi ya kuhatarisha usalama
Description (show more)
Makundi sugu ya wahalifu katika eneo la Malanga kwenye eneo bunge la Nambale kaunti ya Busia yameonywa vikali dhidi ya kuendeleza vitendo hivyo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa wananchi na kuvuruga amani katika eneo hilo. Onyo hilo limetolewa baada ya serikali kuu kufungua rasmi ofisi ya Msaidizi wa Kamishna wa Kaunti katika Taarafa ya Bukhayo ya Kati, eneo bunge la Nambale, Kaunti ya Busia.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 964.6K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 819 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 506 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 457 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
