Kenyans Live

Watu 3 wafariki baada ya kunywa pombe Kimende, Lari

Description (show more)

Watu watatu wamefariki huku mmoja akiwa katika hali mahututi baada ya kudaiwa kunywa pombe yenye sumu katika kijiji cha Kimende huko Lari kaunti ya kiambu.

Share: