Kenyans Live

Viongozi wa ODM wamtaka Kalonzo kuondoka upinzani na kujiunga nao

Description (show more)

Viongozi wa ODM wamemrai kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kujiondoa katika muungano wa upinzani na kujiunga nao, huku wakikashifu kitendo cha baadhi ya vijana kumzomea katika mkutano wa Linda Mwananchi jijini Nairobi. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara katika kaunti ya Samburu, viongozi hao pia wamewakosoa viongozi wasio wa ODM wanaozungumzia mkataba wa maelewano kati ya ODM na UDA.

Share: