Kenyans Live

Muungano wa maendeleo ya wanawake wakemea uchochezi wa kisiasa

Description (show more)

Kundi la wanawake chini ya mwavuli wa Maendeleo Ya Wanawake limeanzisha mpango wa amani unaolenga kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kampeni za kisiasa za amani kuelekea uchaguzi mkuu.

Share: