Kenyans Live

Mzozo wa ardhi ya ekari 3,100 Munyuni wazidi kutokota

Description (show more)

Wafanyabiashara wawili katika eneo la Samburu eneo bunge la Kinango kaunti ya Kwale, wameiomba serikali kutatua mzozo wa ardhi ya ekari 3,100 wanayodai kuimiliki katika kijiji cha Munyuni.

Share: