Kenyans Live

Serikali yatakiwa kuongeza uwekezaji kwa wataalamu wa mifugo

Description (show more)

Serikali imetakiwa kuongeza uwekezaji kwa wataalamu wa mifugo, wakiwemo wanateknolojia wa maswala ya mifugo, ili kuimarisha huduma kwa wakulima.

Share: