Ruto awataka wapinzani kuwasilisha mipango mbadala ya maendeleo
Description (show more)
Rais William Ruto amewataka wapinzani wake kuwaeleza Wakenya mipango mbadala ya maendeleo badala ya kuikosoa serikali kwa matusi, kejeli na siasa za ukabila. Rais amesisitiza kuwa Wakenya wana haki ya kuikosoa serikali, lakini akawataka viongozi kujenga umoja wa kitaifa. Aidha, ametetea kaulimbiu yake ya “Usawa ni Sawa”, akisema serikali yake inaendeleza miradi ya maendeleo kote nchini bila ubaguzi, tofauti na serikali zilizotangulia. Willy Lusige na taarifa zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
